Collector
Zaidi ya Bilioni 517 kutumika kuboresha miundombinu ya barabara Dar es Saalam kupitia DMDP II | Collector
Zaidi ya Bilioni 517 kutumika kuboresha miundombinu ya barabara Dar es Saalam kupitia DMDP II
bongo5.com

Zaidi ya Bilioni 517 kutumika kuboresha miundombinu ya barabara Dar es Saalam kupitia DMDP II

Zaid ya Bilioni 517 zimeelekezwa kuboresha miundombinu ya barabara Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II) hatua inayolenga kuondoa changamoto ya usafiri na kukuza ukuaji wa uchumi. Meneja wa TARURA mkoa wa Dar es Salaam Mhandisi Geofrey Mkinga ameeleza kuwa mradi huo umekuwa …

Go to News Site