Mwinyi: Tumeweka kipaumbele kuhifadhi maeneo ya kihistoria | Collector
Mwananchi
Mwinyi: Tumeweka kipaumbele kuhifadhi maeneo ya kihistoria
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka kipaumbele katika kuimarisha na kuhifadhi maeneo ya kihistoria kwa kuzingatia umuhimu wake katika uchumi na uhifadhi wa utamaduni wa Zanzibar.