Collector
Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA | Collector
Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA
HabariLeo

Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA

ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Yusuph Singo amewaelekeza maofisa michezo nchi kuhakikisha ushiriki katika mashindano ya FEASSSA 2026 unaongeza idadi ya washiriki tofauti na awali. Mashindano ya vyama vya Michezo kwa Shule za Msingi na Sekondari kwa nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) yanatarajiwa kufanyika … The post Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA first appeared on HabariLeo .

Go to News Site