Collector
Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha | Collector
Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha
HabariLeo

Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha

ARUSHA: Maofisa michezo nchini wametakiwa kuhakisha wanasimamia vyema suala la kuibua vipaji kuanzia ngazi za chini ili kuweza kuwa na wanamichezo mahiri na imara. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Maofisa Maendeleo Michezo (TASOA) Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI ) Yusuph Singo amsema lipo … The post Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha first appeared on HabariLeo .

Go to News Site