Collector
POLISI YAJIDHATITI KUHAKIKISHA USALAMA NA UTULIVU WAKATI WOTE WA SIKUKUU ZA PASAKA | Collector
POLISI YAJIDHATITI KUHAKIKISHA USALAMA NA UTULIVU WAKATI WOTE WA SIKUKUU ZA  PASAKA
Jambo TV

POLISI YAJIDHATITI KUHAKIKISHA USALAMA NA UTULIVU WAKATI WOTE WA SIKUKUU ZA PASAKA

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limejipanga vyema kuanzia ngazi ya Kata na kwa kushirikiana na Kamati za ulinzi na usalama kuhakikisha kuwa usalama na utulivu unadumishwa wakati wote wa kipindi cha kuhitimisha mfungo wa Kwaresma na sikukuu za pasaka kwa waumini wa dini ya Kikristo wakati wote wa ibada Kanisani na majumbani mwao. Taarifa […] The post POLISI YAJIDHATITI KUHAKIKISHA USALAMA NA UTULIVU WAKATI WOTE WA SIKUKUU ZA PASAKA appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site