Jambo TV
Kulikuwa na tukio la kushangaza katika kijiji kimoja mkoani Kagera baada ya kijana mmoja kudaiwa kwenda kuiba ndizi usiku shambani, lakini asubuhi akakutwa bado yupo shambani hapo hapo akiwa amekaa juu ya gunia la ndizi alizokuwa ameiba. Kwa mujibu wa mwenye shamba, alikwenda shambani mapema asubuhi kama kawaida yake kuangalia mazao yake. Alipofika, alishangaa kumuona […] The post Drama Kubwa: Kijana Aliyeenda Kuiba Ndizi Shambani Anashindwa Kutoka Shambani Asubuhi, Akutwa Bado Amekaa Na Gunia Lake appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site