Collector
CCM TANGA YATAKA FEDHA ZA RAIS ZIWAFIKIE WALENGWA | Collector
CCM TANGA YATAKA FEDHA ZA RAIS ZIWAFIKIE WALENGWA
Jambo TV

CCM TANGA YATAKA FEDHA ZA RAIS ZIWAFIKIE WALENGWA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdurahaman, amesema kuwa fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, zinapaswa kuwafikia walengwa waliokusudiwa ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao. Akizungumza wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, Abdurahaman amesisitiza kuwa siyo sahihi kwa fedha hizo […] The post CCM TANGA YATAKA FEDHA ZA RAIS ZIWAFIKIE WALENGWA appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site