Jambo TV
Serikali Wilayani Tabora mkoani Tabora imewaunganisha zaidi ya watoto 20 waliokuwa wakiishi au kuzurura mitaani wakiombaomba bila sababu za msingi, licha ya kuwa na umri wa kwenda shule,ambapo watoto hao wamepelekwa kwenye vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo yatima, huku wengine wakiunganishwa na familia zao ili waweze kupata malezi bora pamoja na fursa […] The post WATOTO WA MITAANI TABORA WAFUNGULIWA DUNIA MPYA appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site