bongo5.com
Mamia ya wanafunzi wa taaluma za uhandisi wamejitokeza kushindana katika andiko la ubunifu wa kuondoa kero za foleni mijini iliyoanzishwa na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo Aprili 02, 2026 Ulega amesema hadi kufikia siku ya mwisho ya wanafunzi hao kuwasilisha maandishi yao ya kitaaluma ya kupunguza foleni, …
Go to News Site