Jambo TV
Mchambuzi wa masuala ya amani na maendeleo Dkt. Said Jafo amesisitiza umuhimu wa kuheshimu na kutambua mchango wa amani katika maendeleo na ustawi wa jamii na mwananchi mmoja mmoja, akitoa rai kwa kila Mtanzania bila kujali nafasi yake kuwajibika katika kuhakikisha anailinda amani na kudhibiti vihatarishi vinavyodhohofisha amani nchini Dkt. Jafo amebainisha hayo katika mahojiano […] The post DKT. JAFO: AMANI NI MSINGI WA USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII NA TAIFA appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site