HabariLeo
ZAIDI ya watoto 20 wa mitaani katika Halmashauri ya Wilaya ya Tabora wamebainika na kupatiwa msaada kupitia juhudi za Serikali za kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella wakati wa ziara yake katika Kituo cha Kulea Watoto cha Igambiro alipotoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalumu wakiwemo yatima. The post Tabora yadhibiti watoto wa mitaani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site