Collector
Kapinga aipa FCC maagizo udhibiti bidhaa bandia | Collector
Kapinga aipa FCC maagizo udhibiti bidhaa bandia
HabariLeo

Kapinga aipa FCC maagizo udhibiti bidhaa bandia

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameiagiza Tume ya Ushindani (FCC) kuweka nguvu upya kuhusu udhibiti wa bidhaa bandia sokoni. – Pia ameitaka tume hiyo kuweka mifumo na njia bora za kupokea malalamiko kutoka kwa mlaji wa mwisho wa bidhaa au huduma ili kuongeza ufanisi na ulinzi. – Kapinga ametoa maagizo … The post Kapinga aipa FCC maagizo udhibiti bidhaa bandia first appeared on HabariLeo .

Go to News Site