HabariLeo
DAR ES SALAAM: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano Vodacom Tanzania imeendelea kujikita katikati kukuza uchumi kupitia maendeleo ya kidijiti kwa kutumia teknolojia bunifu kuongeza ujumuishwaji kifedha kwa Watanzania. Kampuni hiyo imedhihirisha hayo leo Aprili 2,2026 kupitia uwekezaji wa mabadiliko ya mifumo katika huduma zao za kifedha kwa njia ya simu yaani M-Pesa kwa kutoka katika … The post Vodacom yajikita uchumi wa kidijiti first appeared on HabariLeo .
Go to News Site