Mwananchi
Kelele za wateja waliokuwa wakinywa pombe ya kienyeji katika Mtaa wa mkoani, Kata ya Kalangalala, Manispaa ya Geita, ghafla zilibadilika kuwa mshangao na taharuki baada ya kugundulika kuwa debe la pombe aina ya mgoligoli lilikuwa limechafuliwa kwa kinyesi kinachodaiwa kuwekwa na mwanamke aliyekuwa akishuku mume wake kuwa na uhusiano wa kimapenzi na muuza pombe.
Go to News Site