Mwananchi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha doria katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ikiwemo barabarani, visiwani na katika maeneo ya mikusanyiko ya watu, ili kuhakikisha wananchi wanasherehekea sikukuu ya Pasaka kwa utulivu na usalama.
Go to News Site