Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Omari Makame, ameonya watu wanaozusha taharuki kwa madai ya kuibiwa nyeti kwa njia za kishirikina, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo vinavyohatarisha usalama wa wananchi.
Go to News Site