HabariLeo
DAR ES SALAAM: Ushirikiano baina ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Walipakodi umetajwa kuwezesha Mamlaka hiyo kuandika historia mpya kwa kukusanya kiasi cha Sh trilioni 9.31 kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/26 sawa na ufanisi wa asilimia 106.4 ya lengo la kukusanya Sh trilioni 8.75. Kwa mujibu wa taarifa … The post TRA yakusanya tril 9.31/- miezi mitatu first appeared on HabariLeo .
Go to News Site