Collector
Dk Rai aipongeza TRA utendaji saa 24 | Collector
Dk Rai aipongeza TRA utendaji saa 24
HabariLeo

Dk Rai aipongeza TRA utendaji saa 24

MSIMAMIZI wa Bohari ya kuhifadhia Mafuta (DEPOT)ya MOIL ENERGIES Dk. Sajad Habib Rai ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa kuweka na kuanzisha utaratibu wa kufanya kazi kwa Saa 24 katika maeneo ya bohari wakidai utawasaidia kuongeza ufanisi katika utoaji wao huduma. Aidha akizungumzia kuhusu upatikanaji wa mafuta katika Bohari hiyo, Dkt Sajad ambaye pia ni … The post Dk Rai aipongeza TRA utendaji saa 24 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site