Collector
Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ Kwa Lengo la Kukuza Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Nchini Tanzania | Collector
Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ Kwa Lengo la Kukuza Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Nchini Tanzania
Swahili Times

Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ Kwa Lengo la Kukuza Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Nchini Tanzania

Kadiri Watanzania wanavyozidi kuhitaji njia za malipo kidijitali za haraka, salama na rahisi, Benki ya Exim Tanzania imeendelea kuingia katika ubia wa kimkakati wadau mbalimbali ikiwemo The Voice TZ, moja ya maeneo maarufu ya burudani na huduma za chakula, kwa lengo la kurahisisha na kuboresha matumizi ya malipo yasiyotumia fedha taslimu kwa wateja. Huku msimu wa sikukuu ukikaribia, wateja wengi wanatafuta njia za kulipia huduma kwa urahisi, usalama na bila usumbufu wanapofurahia huduma bora za chakula na burudani. Kupitia ushirikiano huu, wateja wa The Voice TZ sasa wataweza kulipia huduma kwa kutumia kadi za Benki ya Exim au huduma ya […] The post Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ Kwa Lengo la Kukuza Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Nchini Tanzania appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site