Collector
Bolt yapanga kupandisha nauli | Collector
Bolt yapanga kupandisha nauli
Swahili Times

Bolt yapanga kupandisha nauli

Bolt Tanzania inapanga kupandisha nauli kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta kwa asilimia 33. Kampuni hiyo imesema inafanya mazungumzo na wadau na mamlaka husika ili kutathmini athari za mabadiliko hayo. Aidha, imewataka madereva kuwa watulivu wakati ikiendelea kutafuta suluhisho, ikisisitiza kuwa inalenga kulinda kipato chao na kuhakikisha huduma za usafiri zinaendelea kutolewa kwa ufanisi. Hali hiyo inakuja wakati bei ya mafuta ikiendelea kupanda nchini, ambapo Dar es Salaam imefikia takribani Shilingi 3,820 kwa lita, huku baadhi ya mikoa minginie ikifikia hadi Shilingi 4,000. The post Bolt yapanga kupandisha nauli appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site