Swahili Times
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Michael Ngonyani, (38), mkazi wa Mtyangimbole kwa kosa la kujihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na wizi wa magari mkoani Mbeya. Akitoa ufafanuzi wa tulio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamisha Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 31, 2026, huko Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba. Ameeleza kuwa baada ya kupekuliwa alikutwa pia akiwa na sare za Jeshi la Polisi (kaki) pea moja na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), suruali na T-shirt ambazo alikuwa akizitumia kufanyia uhalifu sehemu mbalimbali. Aidha, amesema upelelezi […] The post Ngonyani akamatwa akiwa na sare za majeshi appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site