HabariLeo
SERIKALI mkoani Kigoma imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuwasaka wahamiaji haramu wakiwemo wakimbizi wa Burundi wanaodaiwa kukimbia makambini na kuishi mtaani kinyume cha sheria za uhamiaji. The post Wakimbizi waliotoroka kambini kusakwa Kigoma first appeared on HabariLeo .
Go to News Site