Mwananchi
Hali ya huzuni, simanzi na sintofahamu imetawala miongoni mwa waathirika wa mafuriko wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, huku baadhi yao wakieleza kupoteza kila walichokuwa nacho baada ya mvua kubwa kunyesha kwa nyakati tofauti.
Go to News Site