Mwananchi
Hofu ya milipuko ya magonjwa imewakumba zaidi ya wafanyabiashara 1,500 katika Soko la Mgandini jijini Tanga, kufuatia uchafu uliokithiri na ukosefu wa vyoo katika eneo hilo linalotegemewa na wananchi wengi kwa biashara ya mbogamboga na matunda.
Go to News Site