HabariLeo
MOROCCO: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuunganishwa na mifumo ya malipo ya kikanda, hatua inayorahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha ndani na nje ya nchi pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi. Akizungumza leo Aprili 3, 2026 jijini Tangier, nchini Morocco, wakati wa mjadala wa mawaziri … The post Tanzania yapiga hatua mifumo ya malipo kikanda first appeared on HabariLeo .
Go to News Site