Collector
Viongozi wa dini wakataa migongano,vita | Collector
Viongozi wa dini wakataa migongano,vita
HabariLeo

Viongozi wa dini wakataa migongano,vita

VIONGOZI wa dini ya Kikristo nchini wamewataka waumini wa dini hiyo kudumisha upendo, msamaha na kukataa migongano na vita. Wameeleza hayo katika ibada na misa za Ijumaa Kuu katika maeneo mbalimbali nchini wakisisitiza kumshukuru Mungu katika kukumbuka mateso ya Yesu Kristo. The post Viongozi wa dini wakataa migongano,vita first appeared on HabariLeo .

Go to News Site