HabariLeo
WADAU wa siasa na wananchi wamewatwika mzigo wa majukumu viongozi wapya walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wakiwataka watekeleze majukumu yao kwa weledi, uadilifu na kuweka mbele maslahi ya taifa badala ya binafsi. The post Rais Samia apongezwa kuteua mpinzani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site