Madereva sita wakamatwa kwa ulevi, wafungiwa leseni miezi sita Mwanza | Collector
Mwananchi
Madereva sita wakamatwa kwa ulevi, wafungiwa leseni miezi sita Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata madereva sita wa magari kwa kosa la kuendesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa pombe, huku leseni zao zikifungiwa kwa muda wa miezi sita.