Collector
Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia | Collector
Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia
HabariLeo

Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia

MONASTIR: TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imemaliza kambi yake ya mazoezi mjini Monastir kwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wao Tunisia kwenye Uwanja wa MustaphaBen Jannet Monastir leo. Mechi hiyo ilikuwa ya pili kwa Serengeti Girls dhidi ya Tunisia, ya kwanza ilichezwa Machi … The post Serengeti Girls inalitaka Kombe la Dunia first appeared on HabariLeo .

Go to News Site