Vibanda 500 vyateketea kwa moto Simu 2000 Dar | Collector
Mwananchi
Vibanda 500 vyateketea kwa moto Simu 2000 Dar
Zaidi ya vibanda 500 inaelezwa vimeungua katika Stendi ya Simu 2000 iliyopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, huku mashedi sita yaliyokuwa yamejengwa na Halmashauri na vibanda 280 vikinusurika.