Collector
Polisi yaonya wanaozusha wanaume kuibiwa nyeti, watano wafariki | Collector
Polisi yaonya wanaozusha wanaume kuibiwa nyeti, watano wafariki
Mwananchi

Polisi yaonya wanaozusha wanaume kuibiwa nyeti, watano wafariki

Jeshi la Polisi nchini limewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaosambaza taarifa za uzushi kuhusu madai ya wanaume kupoteza sehemu zao za siri baada ya kushikwa bega, likisema taarifa hizo hazina ukweli wowote wa kisayansi na zimechochea vifo vya watu watano na majeruhi kadhaa.

Go to News Site