Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na uamuzi wa Serikali kukifungia kituo cha Jambo Online TV kwa muda wa siku 90.