Collector
Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda | Collector
Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda
Mwananchi

Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda

Baadhi ya wananchi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya rejareja mkoani humo kuwapandishia bei ya sukari kiholela, wakisema hali hiyo inazidi kuwaumiza kutokana na ugumu wa maisha.

Go to News Site