Collector
Malipo ya wanafunzi uzinduzi wa Mwenge yazua malalamiko, Serikali yafafanua | Collector
Malipo ya wanafunzi uzinduzi wa Mwenge yazua malalamiko, Serikali yafafanua
Mwananchi

Malipo ya wanafunzi uzinduzi wa Mwenge yazua malalamiko, Serikali yafafanua

Fedha za malipo kwa wanafunzi wa halaiki walioshiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru zimezua sintofahamu, huku baadhi ya wazazi na wanafunzi wakidai kudhulumiwa, wakati Serikali ikitoa ufafanuzi kuhusu kilichojitokeza.

Go to News Site