Collector
Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini | Collector
Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini
HabariLeo

Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini

NAFASI ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kuwa mhimili muhimu katika kulinda amani na utulivu wa muda mrefu nchini. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano, Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria, Esaka Mugasa amesema utulivu wa nchi unatokana na juhudi za pamoja za taasisi zinazofanya kazi chini ya mifumo ya kisheria iliyowekwa, ikiwemo Sheria ya Baraza la Usalama la Taifa. The post Vyombo vya ulinzi vyatajwa nguzo muhimu ya amani nchini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site