Collector
Waziri Mkuu aonya watumishi wanaojimilikisha vizimba vya biashara | Collector
Waziri Mkuu aonya watumishi wanaojimilikisha vizimba vya biashara
Mwananchi

Waziri Mkuu aonya watumishi wanaojimilikisha vizimba vya biashara

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaonya watumishi wa Serikali wenye tabia ya kuchukua vizimba vya biashara katika masoko bila kuvifanyia shughuli yoyote, akisema tabia hiyo ni ya ulanguzi na inawaumiza wafanyabiashara halali wanaotegemea maeneo hayo kujipatia kipato.

Go to News Site