Collector
Wadau wafunguka mfungwa aliyepewa vifaa kuanza maisha uraiani | Collector
Wadau wafunguka mfungwa aliyepewa vifaa kuanza maisha uraiani
Mwananchi

Wadau wafunguka mfungwa aliyepewa vifaa kuanza maisha uraiani

Hatua ya Rashid Shemndorwa, aliyetumikia kifungo cha miaka 15 jela, kukabidhiwa vifaa vya kuanza maisha uraiani imeibua mjadala kuhusu namna bora ya kuwasaidia wafungwa wanapotoka gerezani, huku wadau wakisisitiza kuwajengea maisha mapya ni njia sahihi ya kuwazuia kurudia makosa.

Go to News Site