HabariLeo
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kesho itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya nauli za usafiri wa umma, baada ya kupanda kwa bei ya mafuta na wadau kulalamika kunachangia kuongezeka kwa gharama za uendeshaji kwa watoa huduma. The post Latra kuanza kupokea maoni ya nauli kesho first appeared on HabariLeo .
Go to News Site