Collector
Pasaka inawakumbusha wakristo kuishi kwa upendo | Collector
Pasaka inawakumbusha wakristo kuishi kwa upendo
HabariLeo

Pasaka inawakumbusha wakristo kuishi kwa upendo

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania kuishi kwa upendo, mshikamano na kudumisha amani katika jamii. Dk Mwigulu amesema hayo kwenye Tamasha la Pasaka la Mtoko na Christina Shusho lililofanyika Mlimani City Dar es Salaam. The post Pasaka inawakumbusha wakristo kuishi kwa upendo first appeared on HabariLeo .

Go to News Site