Collector
Auawa akitaka kumshambulia paroko | Collector
Auawa akitaka kumshambulia paroko
HabariLeo

Auawa akitaka kumshambulia paroko

MKAZI wa Kijiji cha Kagunguli wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Renatus Silivester ameuawa na wananchi baada ya kuingia ghafla katika Kanisa Katoliki wilayani Ukerewe kwa nia ya kumjeruhi paroko wakati waumini wakiendelea na Ibada ya Pasaka The post Auawa akitaka kumshambulia paroko first appeared on HabariLeo .

Go to News Site