Collector
Kumuenzi Karume ni wajibu wa kila mwananchi | Collector
Kumuenzi Karume ni wajibu wa kila mwananchi
HabariLeo

Kumuenzi Karume ni wajibu wa kila mwananchi

KILA ifikapo Aprili 7, ya mwaka Zanzibar huadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Abeid Amani Karume. Siku hii hujumuisha matukio mbalimbali ikiwa ni pamoja na dua maalumu, na viongozi wa vyama na serikali kutembelea kaburi lake kisiwandui. The post Kumuenzi Karume ni wajibu wa kila mwananchi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site