HabariLeo
RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi wanatarajiwa kuungana na viongozi wakuu pamoja na wananchi leo katika eneo la Kisiwandui kwa ajili ya dua za kitaifa za kumuenzi Abeid Amani Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ya mwaka 1964. The post Samia, Mwinyi kuongoza kumbukizi ya Karume leo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site