Leo ni miongo mitano na miaka minne tangu alipotwaliwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, huku wadau wa siasa wakimkumbuka kwa misingi aliyoiasisi, ambayo baadhi wanadai imeachwa.