Collector
Tume ya kuchunguza vurugu yaongezewa siku 21 | Collector
Tume ya kuchunguza vurugu yaongezewa siku 21
Swahili Times

Tume ya kuchunguza vurugu yaongezewa siku 21

Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa tena muda wa siku 21 na Mamlaka ya Uteuzi. Sababu za kuongezewa muda ni pamoja na kuiwezesha kukamilisha uchambuzi wa ushahidi, taarifa na maoni yaliyopokelewa, kutoa fursa kwa wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kufanyia kazi baadhi ya vielelezo vipya vilivyowasilishwa na kukamilisha maandalizi ya ripoti itakayowasilishwa kwa Rais. Tume hiyo ilianza kutekeleza majukumu yake Novemba 20, 2025 na kutarajiwa kukamilisha kazi yake ndani ya kipindi cha siku 90. Hata hivyo, kutokana na sababu mbalimbali, Tume iliongezewa muda wa kukamilisha kazi na kutakiwa […] The post Tume ya kuchunguza vurugu yaongezewa siku 21 appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site