Collector
Wazazi wapewa somo kulea vipaji vya watoto nje ya darasa | Collector
Wazazi wapewa somo kulea vipaji vya watoto nje ya darasa
Mwananchi

Wazazi wapewa somo kulea vipaji vya watoto nje ya darasa

Ili kuwafanya watoto wajiamini, wawe wadadisi wa mambo pamoja na kuwaandalia mazingira bora ya ajira baadaye, wazazi na walezi wametakiwa kuwekeza katika ujuzi mbalimbali walionao watoto hao.

Go to News Site