bongo5.com
Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuimarisha elimu bora na kuwawezesha waalimu, Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam kupitia mradi wake wa Gift of education, imedhamini semina ya kuwajengea waalimu wa shule za msingi za manispaa ya Kinondoni uwezo wa mbinu za mafunzo jumuishi. Semina hiyo ya siku mbili iliyofanyika katika Shule ya …
Go to News Site