Collector
Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa | Collector
Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa
HabariLeo

Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa

DAR ES SALAAM: Serikali imekamata na kuziondoa sokoni bidhaa bandia 99,100 zenye thamani ya Sh bilioni 4 zilizokuwa zikiuzwa kinyume cha sheria nchi nzima. Akizungumza leo Aprili 7 2026, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ametaja bidhaa hizo kuwa ni vipodozi, vyakula na vifaa vya umeme vya majumbani, huku ukisubiriwa utaratibu wa kuziteketeza. Waziri … The post Bidhaa bandia za bil 4/- zanaswa, sasa kuteketezwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site