Watu wawili mkoani Tabora inadaiwa wamejinyonga hadi kufa, akiwemo mkazi wa Igembensabo, Kata ya Uyui, Ngalawa Idd (50).