Mapendekezo ya wanazuoni hao, yanakuja wakati ambao dunia inakabiliwa na ongezeko la bei ya mafuta kutokana na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran