HabariLeo
MBUNGE wa Jimbo la Ikungi Kaskazini Elibariki Kingu amesema Serikali imechukua hatua za makusudi za kuhakikisha taifa linabaki salama katika upatikanaji wa mafuta. Akichangia hotuba ya makadirio na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 mjini Dodoma,Kingu amesema Serikali inatakiwa iweke mikakati endelevu ya kupunguza mzigo mkubwa wa kwa watanzania hasa katika kipindi hiki cha matatizo ya mafuta. The post Kingu: Jengeni kituo cha mafuta first appeared on HabariLeo .
Go to News Site